Tarehe 21 hadi 23 Nov.2011 Asasi ta TAKUUKI imepata nafasi kushiriki Tamasha la 9 la azaki bora Tanzania ambalo limefanyika Dar es Salaam katika Hoteli ya Blue Peal.Mwakilishi wa Azaki amejionea mwenyewe jinsi asasi mbalimbali walivyoweza kuonesha kazi zao ambazo wanahudumia jamii.Mwakilishi wa asasi hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa TAKUUKI amefurahishwa sana kujionea machapisho na vitabu mbalimbali ambavyo vina Elimu Mzuri na aina mbalimbali ya ujumbe kwa jamii.Mfano... | On 21 to 23 Nov.2011 ta TAKUUKI organization has the opportunity to participate in the 9th Festival of CSOs best Tanzania Dar es Salaam, which was held in Hotel Blue Peal.Mwakilishi the CSO has see for yourself how different organizations they can show their work that they serve the organization jamii.Mwakilishi So who is Director Impressed TAKUUKI see various publications and books that have good education and a variety of messages for the TACOSODE jamii.Mfano... | Edit |