Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/takuuki/post/7939
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Kikao cha viongozi wa Asasi kwa ajili ya kuwaandaa washiriki kimefanyika tarehe 12/2/2011. Katika picha ni viongozi wa Kata ya Malatu na Mchemo. Viongozi hao walikuwa wanasikiliza maelekezo ya sifa za kuteua washiriki. – (image) – Katika picha Makamu Mwenyekiti Ndugu Mohamedi R Ngozi aliyesimama katika picha alifungua kikao cha viongozi wa serikali na kuwasisitiza umakini na...
(Bila tafsiri)
Hariri