Base (Swahili) | English |
---|---|
TEYODEN na TYVA waongeza nafasi za ushirikiano TEYODEN na Tanzania Youth Vision Association(TYVA),leo walifanya mkutano wa kuzindua ajenda ya vijana 2010,wakishirikisha asasi nyingine za vijana katika ukumbi wa Karimjee leo ambapo mada ilwasilishwa na mkurugenzi wa hakielimu,Bibi Annastazia Rugaba ambaye pia alibainsha changamoto zinazowakabili vijana kuelekea uchaguzi mkuu na katika harakati za kujikomboa kiuchumi,kisiasa na kiafya. Kisha baada ya mawasilisho hayo,vijana walipata nafasi ya kufanya majadiliano yaliyopelekea kuwepo kwa maazimio ambayo baadaye yatapelekwa kwa makatibu wa vyama vya siasa nchini,yakipendekeza nini kifanyike kwa ajili ya vijana,mara chama chochote kitakachoingia madarakani kitapaswa kiyafanyie kazi. Katika mojawapo ya maazimio hayo ni kuhusu kuwepo kwa ufuatiliaji wa mapendekezo hayo hata baada ya uchaguzi kwa wale waliochaguliwa.
|
TYVA TEYODEN and increase the chance of cooperation TEYODEN and Tanzania Youth Vision Association (TYVA), today came together to launch an agenda for youth 2010, they engaged the other institutions of youth in the hall Karimjee today where the topic ilwasilishwa and director of education, Mrs Annastazia Rugaba who also bainsha challenges facing the youth towards general elections and the movement to liberate the economic, political and health. Then after these presentations, the youth got a chance to talk yaliyopelekea existence of resolutions which will later be given to the secretaries of political parties in the country, yakipendekeza what can be done for young people, whatever party was in power causes kiyafanyie You will need to work. In one of these resolutions is the existence of monitoring of these recommendations until after the election to those elected. |
Translation History
|