Kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwa kutumia sanaa. Pili, ni kusaidia watoto ya tima walioachwa na wazazi wao kutokana na ugonjwa wa UKIMWI. Tatu, ni kusaidia watoto ya tima sare za shule. Pia, kuwapa mahitaji madogo watu wanoishi na virusi vya UKIMWI. | Educating the community about HIV / AIDS using the arts. Second, the future is to help children who are abandoned by their parents to AIDS. Third, the future is to help kids school uniforms. Also, to provide for smaller people living with HIV / AIDS. | Edit |