(image) – Mimi naitwa Zephania Kyungai mwenyekiti wa kikundi cha sanaa WALIPO kilichoko Tengeru. Naishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWA kwa muda wa miaka kumi. Baada ya kufuata ushauri wa daktari niliweza kuondoa usongo wa mawazo na sasa hivi naishi bila matatizo yoyote. Nafanya kazi zangu zote nahudumia familia yangu bila matatizo. | (Bila tafsiri) | Hariri |