Log in

/wamatasengerema/history: English: WI0008F6CAC435E000023322:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

WAMATA ni shirika lisilo la kiserikali lenye makao makuu yae Daer saalam na lina matawi mengi. Tawi la WAMATA Sengerema ni mojawapo ya matawi 19 ya WAMATA yanayofanya kazi. Lilifunguliwa rasmi mwaka 1994, likijumlisha wanachama mbalimbali  kutoka idara za afya, elimu, wakulima na wafanya biashara pamoja na walio na virusi vya ukimwi na UKIMWI.

Tulianza kuwahudumia watoto  yatima12 kwa kuwapatia mahitaji ya msingi,fedha ilitokana na michango kutoka kwa viongozi wenyeye na fedha nyingine kutoka kwa kikundi cha kina mama wa kanisa.

Mwaka jana 2010 tumewasaidia watoto yatima mahitaji ya shule kama ifuatavyo:                                                                                                                                  

  •  Shule za msingi [1300]
  • Shule za sekondari [211]
  • wanachuo walisaidiwa  [11]                                                                                      HUDUMA YA CHAKULA: Mwaka 2010 Tulinunua  mahindi gunia [8] maharage gunia[1] mpunga gunia [5] na unga lishe kwa ajili ya waathirika wa ukimwi na watoto yatima wanaoishi peke yao. watu 40 walinufaika na huduma hii.                                                USHAURI NASAHA NA UPIMAJI huduma hii inatolewa na baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji na wanachama kwa ujumla.                                                                            KUSIMAMIA SHUGHULI ZA KUWEKA NA KUKOPA KWA WATU WAISHIO NA VVU/              UKIMWI.  Tuna vikundi vitatu[ upendo 1&upendo 2,na tufarijiane]                                    Mwaka jana tulishiriki katika matukio mbali mbali
  • Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani.
  •  Tulijumuika na watoto yatima kutoka asasi zingine kula chakula kwa pamoja 25/12/2010
  • Mapambano dhidi ya malaria kwa kushirikiana na asasi ya TANDABUI Mwanza.
  • Tuliendesha semina kwa viongozi wa madhehebu ya dini kuhusu  kupunguza unyanyapaa kwa wenye vvu/ukimwi.semina ya malezi kwa watoto yatima na semina ya kupunguza unyanyapaa kwa wenye vvu/ukimwi.                                                                           

 

WAMATA a non-governmental organization with headquarters yae saalam Daer and has many branches. Sengerema WAMATA Branch is one of the 19 branches operating WAMATA. Officially opened in 1994, likijumlisha various members from the department of health, education, farmers and merchants, and living with HIV and AIDS.

We began serving children yatima12 to provide basic needs, the money was from donations from wenyeye leaders and other money from a group of mothers of the church.

Last year we helped 2010 orphans of school needs as follows:

  • Primary schools [1300]
  • Secondary schools [211]
  • students were assisted [11] MINISTRY OF FOOD: In 2010 Tulinunua sack of maize [8] bean bag [1] rice bag [5] and nutritional meal for the victims of HIV / AIDS and orphaned children living alone. 40 people were benefited by this service. UPIMAJ I counseling and this service is provided to some members of the executive committee and general members. manage the association savings and credit to people living with HIV / AIDS. T has three groups [Love 1 & Love 2, and tufarijiane] Last year we participated in various events
  • Celebration of world AIDS day.
  • Tulijumuika and orphans from other organizations together to eat 25/12/2010
  • The fight against malaria in collaboration with institutions of cobweb Mwanza.
  • Tuliendesha workshop for religious leaders on reducing stigmatization of HIV / HIV mwi.semina of care for orphans and workshops to reduce stigma for HIV / AIDS.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
June 3, 2011
WAMATA a non-governmental organization with headquarters yae saalam Daer and has many branches. Sengerema WAMATA Branch is one of the 19 branches operating WAMATA. Officially opened in 1994, likijumlisha various members from the department of health, education, farmers and merchants, and living with HIV and AIDS. – We began serving children yatima12 to provide basic needs, the money was from donations from wenyeye leaders and other money from a group of mothers of the...