(English below) – Sauti ya wakulima, "The voice of farmers" (http://sautiyawakulima.net), ni msingi wa kuelimishana ulioundwa na wakulima wa eneo la Chambezi Wilayani Bagamoyo-Tanzania. Msingi huu wa kuelimishana umeundwa kwa kukusanya ushahidi wa picha za shughuli zinazofanywa na wakulima kila siku na rekodi za sauti zao kisha kurekodiwa kwa... | (Not translated) | Hindura |