Base (Swahili) | English |
---|---|
Caretakers wamejengewa uwezo juu ya jinsi ya kuwatunza watoto kupitia kipato walichonacho kwenye makundi yao. Kupitia worth group maisha ya caretakers yamebadilika kutokana navikundi vya biashara ndondogo ujasiriamali. Mvc wamepata matumaini kupitia children clubs. Familia zimepatiwa ushauri kutumia rasirimali walizonazo ili kuwapatia watoto chakula na lishe. |
Caretakers have capacity building on how to care for children through the income they had in their groups. Worth through group life has changed due navikundi caretakers of ndondogo entrepreneurial business. MVC have found hope through children clubs. Zimepatiwa family counseling using rasirimali they have to give the children food and nutrition. |
Translation History
|