Chimbuko la WAENDELEE ni fikra, tafakuri na mawazo ya muda mrefu yaliyotokana na majadiliano na mazungumzo kuhusu hali halisi ya maendeleo duni na maisha ya Wirwana na Wairwana. Changamoto zilizopo katika jamii yetu huko Singida, Kielimu, Kiafya, Uduni wa miundombinu ya barabara, Uharibifu wa mazingira, kilimo duni na ufugaji wa mazoea usio na tija. Mambo haya... | (Bila tafsiri) | Hariri |