Vitongoji Environmental Conservation Association ni jumuia isio ya kiserikali inayojihusisha na uhifadhi wa mazingira. Ilianzishwa mwaka 1996 kufuatia tokeo ambalo lilisababisha watu 35 kupoteza maisha yao kwa ajili ya kula nyama ya kasa aliyesadikiwa kuwa na sumu Tokeo hilo baya ndio chanzo kikubwa cha kuanzishwa kwa Jumuia hii. – Jumuiya hii imepata usajili wake mwaka 1997 na ina hati ya usajili no.33 chini ya... | (Not translated) | Hindura |