Kufanya shughuli zote zinazohusu viziwi,kutoa huduma na kuandaa mikakati mbali mbali kwa manufaa ya viziwi na wanachama. – Kuunganisha na kuelimisha viziwi ili wapate hali bora ya maisha na huduma muhimu kama raia wengine wa Tanzania. – Kupigania haki na usawa,ushirikiano na jumuiya nyingine,vyombo vya serikali na mashirika mbalimbali yenye malengo yanayolingana na matakwa ya CHAVITA. – Kuhakikisha matumizi ya Lugha ya Alama ya Tanzania inapewa kipaumbele... | (Not translated) | Hindura |