Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Kufanya shughuli zote zinazohusu viziwi,kutoa huduma na kuandaa mikakati mbali mbali kwa manufaa ya viziwi na wanachama. Kuunganisha na kuelimisha viziwi ili wapate hali bora ya maisha na huduma muhimu kama raia wengine wa Tanzania. Kupigania haki na usawa,ushirikiano na jumuiya nyingine,vyombo vya serikali na mashirika mbalimbali yenye malengo yanayolingana na matakwa ya CHAVITA. Kuhakikisha matumizi ya Lugha ya Alama ya Tanzania inapewa kipaumbele na kutumiwa na viziwi wote na wakalimani mahali popote. Kukusanya Takwimu za watoto viziwi waliopo katika wilaya za mkoa wa Tanga Kwa kushirikiana na ofisi za serikali kuu na serikali za mitaa. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe