Lazima tushirikiane katika kutoa Elimu ya Uhifadhi wa mazingira. Mazingira yanapoharibiwa na athari inapokuja madhara huwa si ya aliyeharibu tu bali kwa jamii nzima. – Ni vema kuyatunza mazingira na kuwaunga mkono PEDO na kushirikiana nao katika kutoa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira katika kisiwa cha Pemba. ( Picha inaonesha wanachama wa PEDO na wanakijiji wa Birikau Shehia ya Michungwani Chake - Chake Pemba) | (Not translated) | Edit |