Lazima tushirikiane katika kutoa Elimu ya Uhifadhi wa mazingira. Mazingira yanapoharibiwa na athari inapokuja madhara huwa si ya aliyeharibu tu bali kwa jamii nzima.
Ni vema kuyatunza mazingira na kuwaunga mkono PEDO na kushirikiana nao katika kutoa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira katika kisiwa cha Pemba. ( Picha inaonesha wanachama wa PEDO na wanakijiji wa Birikau Shehia ya Michungwani Chake - Chake Pemba)
Ibitekerezo (1)