About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/PEDO/post/81066
: English
Base
English
Lazima tushirikiane katika kutoa Elimu ya Uhifadhi wa mazingira. Mazingira yanapoharibiwa na athari inapokuja madhara huwa si ya aliyeharibu tu bali kwa jamii nzima. – Ni vema kuyatunza mazingira na kuwaunga mkono PEDO na kushirikiana nao katika kutoa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira katika kisiwa cha Pemba. ( Picha inaonesha wanachama wa PEDO na wanakijiji wa Birikau Shehia ya Michungwani Chake - Chake Pemba)
(Not translated)
Edit
(image)
(Not translated)
Edit