Interview 4 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kutengeneza mifereji,kudhibiti na kubomoa watu waliojenga bila mpango maalumu.
Tuliopo mabondeni tuhamishwe maeneo bora zaidi.
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Mali zangu zote za ndani zimepotea,vifaa vya kazi yangu kama mashine ya kuranda... | (Not translated) | Hindura |