Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/Nuruhalisi/post/3277
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Wana-WEMA wanawapongeza wanakikundi cha NURU HALISI kwa kazi nzuri mnayoifanya, kazi ambayo inadhihirisha jina la kikundi chenu. Tunajifunza mengi kutoka kwenu. Wana-WEMA wanawatakia kila la kheri katika shughuli zenu.
(Not translated)
Hindura
Katibu wa Nuru Halisi akiwa na viongozi wa kikundi cha Nuru Development Group(KIMANU) katika moja ya vikao vyake. Kikundi hiki tayari kimeanzisha mradi wa uyoga na kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo. (image)
(Not translated)
Hindura