Kikundi hiki kimeanzishwa leo tarehe 6/2/2015 hapa GOLD CREST HOTEL, Baada ya wanakikundi kutafakari juu ya namna bora ya kuboresha hali zao za kimaisha na kuona kuwa kuna haja ya kuanzisha kikundi chenye malengo ya kujikwamua na maadui wakuu watatu yaani umasikini,maradhi na ujinga katika kujiletea maendeleo ya kweli kwa jamii yetu ya kitanzania bila kujali jinsia, kabila, dini, ulemavu na hata rangi. Baada Kikundi kuanzishwa... | (Not translated) | Hindura |