Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
tumeanza mwaka 2009 kama vijana wa jinsia zote bukoba mjini tukiamasisha kufanya kazi kwa bidii na upendo mpaka sasa tuna shamba la miti eka 10 mashamba 2 ya mboga za majani bukoba vijijini na kushawishi vikundi takirbani kumi kufanya kazi kwa bidii na kujisajili kwenye alimashauli zake |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe