Parts of this page are in Swahili. Edit translations
tumeanza mwaka 2009 kama vijana wa jinsia zote bukoba mjini tukiamasisha kufanya kazi kwa bidii na upendo mpaka sasa tuna shamba la miti eka 10 mashamba 2 ya mboga za majani bukoba vijijini na kushawishi vikundi takirbani kumi kufanya kazi kwa bidii na kujisajili kwenye alimashauli zake