Base (Swahili) | English |
---|---|
TUNDUMA YOUTH GROUP ni umoja ulioanzishwa na vijana wa ishio Tunduma kwa nia kubwa ya kusaidia vijana ili kufikia malengo mbalimbali waliyojiwekea katika maisha yao baada ya kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali. malengo ya asasi hii isiyo ya kiserikali ni haya yafuatayo 1.kutoa elimu juu ya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa 2.kutoa elimu ya ujasilia mali kwa vijana 3.hifadhi ya mazingira 4.mikopo kwa ajili ya biashara ndogondogo 5.shughuli za kilimo na ufugaji wa kuku na samaki. malengo haya yaliwekwa na wana asasi baada ya kuangalia huitaji uliopo katika jamii ya watu wa TUNDUMA.
|
Tunduma Youth Group is a coalition formed by young people living in Tunduma great desire to help young people to achieve various goals they set for ourselves in their life after graduate studies at various levels. objectives of this non-governmental organizations are the following 1.kutoa education about AIDS and other sexually transmitted diseases 2.kutoa ujasilia property education for youth Environmental 3.hifadhi 4.mikopo for small businesses 5.shughuli of agriculture and aquaculture, poultry and fish. These goals were organized and civil needs to look after prevailing in the society of men of Tunduma. |
Translation History
|