Envaya
/OLAI/post/20576
: English
Base
English
Mawasiliano ya simu ya mkononi: 0788715532 Airtel / 0712192860 Tigo / 0776802532 Zantel
(Not translated)
Edit
Hassan Luheko Mnaute
(Not translated)
Edit
(image) – Ndg. Hassan Luheko Mnaute akifafanua jambo la mwezeshaji Mdg. Feruz kutoka idara ya ardhi, wilaya ya Tandahimba katika mkutano wa kupitisha mpango wa matumizi bora ya ardhi, wakati wa utekelezaji wa mradi wa kuwajengea uwezo wananchi, wajumbe wa mabaraza ya ardhi ya vijiji na kata, kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999, na kanuni za Ardhi za mwaka 2002, katika ukumbi wa Parish holl uliopo Luagala, Wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara -...
(Not translated)
Edit