Log in
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Ndg. Hassan Luheko Mnaute akifafanua jambo la mwezeshaji Mdg. Feruz kutoka idara ya ardhi, wilaya ya Tandahimba katika mkutano wa kupitisha mpango wa matumizi bora ya ardhi, wakati wa utekelezaji wa mradi wa kuwajengea uwezo wananchi, wajumbe wa mabaraza ya ardhi ya vijiji na kata, kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999, na kanuni za Ardhi za mwaka 2002, katika ukumbi wa Parish holl uliopo Luagala, Wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara - Tanzania.

August 12, 2018
« Previous Next »

Comments (1)

(Anonymous) (Kijiji cha Chaume, Kata ya Chaume, wilaya Tandahimba, Mtwara - Tanzania. P.o. Box 62 Tandahimba. Email: olaitandahimba8@gmail.com Mobile: 0788 715 532 / 065 426 456 ) said:
Hassan Luheko Mnaute
August 12, 2018

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.