Tunashukuru sana kwa ushauri uliotolewa na ENVAYA kuwa, Asasi za kiraia/mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, kuwepo na uhusiano na mitandao ya kitaifa na kimataifa, kueleza shirika linafanya au linajishughulisha na nini kwa jamii. Hii inasaidia shirika kujijengea uaminifu kwa mashirika wafadhili, na sio kujishughulisha na kuomba ruzuku toka kwa wafadhili. Yapo mashirika kama TACONGO, TANGO nk, ninaonelea kungekuwa na mwongozo wa kutuwekea hadharani mawasiliano ya mashirika hayo, ili tuweze kujua... | (Not translated) | Edit |