Madhumuni ya MHAKITA – Mhakita unaanzishwa kwa malengo ya:
(a) Kuandika habari za jamii hususani jamii ya watu waishio vijijini – (b) Kuelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali kupitia taaluma ya habari kwa mfano,Utunzaji wa mazingira katika dhana endelevu ... | The purpose of MHAKITA – Mhakita is established for the purposes of: (A) Written information society, especially people living in rural communities – (B) To educate the public on various issues through media professionals, for example, keeping the environment in a sustainable concept ... | Edit |