Base (Swahili) |
English |
NGOME inaendesha program ya klabu za mjadala mashuleni.Kwa sasa inaendesha klabu katika shule za sekondari za Mikindani na Mitengo,lengo ni kuwajenga vijana ili waweze kujitambua na hivyo waweze kutimiza majukumu yao katika jamii hususani katika suala zima la VVU na UKIMWI.Pia vijana hao waweze kubadili tabia na kuwa na tabia zinazokubalika katika suala zima la mahusiano.
|
CASTLE program runs the club now runs mashuleni.Kwa debate club in high school in Mikindani and units, the goal is to build up young people so they can identify with so they can fulfill their roles in society especially in the context of HIV and the boys can UKIMWI.Pia change behavior and acceptable behavior in the context of relationships.
|