Ukurasa huu unakujuza mambo mengi ambayo ama unayafahamu au huyafahamu. Si vibaya kama unayafahamu ukajikumbusha na kama huyafahamu ukayafahamu na kwenda kuwajuza wengine. Karibu saaaaaaaana Mdau!!! – (image) Hii ni Ofisi ya Walimu katika shule ya Msingi Mzula Wilayani Chamwino. Je wajua kwamba hapa ndipo wanakokaa Walimu na kufikiria namna ya kuboresha taaluma katika shule yao?... | (Bila tafsiri) | Hariri |