Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
kila kundi likidai uwakilishi patakua apatoshi lengo ni kuwepo na sheria za wazi zenye kutambulika na kama kiongozi akienda kinyme na sheria aweze kuadhibiwa kwa mfano kiongozi akiadi kuwa atajenga shule asame kwa mda gani na kwa bajeti hipi na kama akishidwa basi tumuadhibu kwa sheria hipi.kila siku tunalilia uwakilishi hao wanaotuakilisha wanatoka huku wananjaa wakila tu matulia bado tutakuwa atujapata ufumbuzi sheria hikiwa juu na uongozi na mavazi ya watu yakiwa chini kila mmoja atakuwa na haki maana imefika wakati mtu mwenye vazi furani au cheo furani hata akifanya kosa anagopwa asanteni sana |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe