Base (Swahili) | English |
---|---|
Kwa kweli AZAKi zinahitaji kuwa na uwakilishi katika udiwani na ubunge.Hii itasaidia kusukuma mbele mjadala wa maendeleo na kushiriki katika maamuzi mbalimbali ya maendeleo |
In fact CSOs need to have representation in the council and ubunge.Hii will help push forward the development debate and to participate in a variety of development decisions |
Translation History
|