Envaya

/Nuruhalisi/news: English

BaseEnglish
(image) – KAMALINAVYO JIELEZA BANGOLETU HAPO(image) – State KAMALINAVYO BANGOLETU HAZARDS
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(document)(Not translated)Edit
NURU DEVELOPMENT GROUP tayari wameshafanikisha kupanda uyoga, wanakikundi wamepeana majukumu ya kuutunza na viongozi kuendelea kutoa elimu pamoja na kutafuta fursa nyingine, Kikundi bado kinakaribisha wanachama ili kuwa na wigo mkubwa zaidi. Pia tunakaribisha wajasiriamali wadogo wagogo ili tuungane na kupanuka zaidi na hatimaye kuifikia jamii nchi nzima. Wanachama sio lazima watoke Dar es salaam na Dodoma tu, tunakaribisha wanachama toka pande zote za Tanzania bara....Light DEVELOPMENT GROUP already shafanikisha growing mushrooms, team members have provided kuutunza responsibilities and continue to provide educational leaders with opportunities to seek other, still kinakaribisha Group members to have greater scope. We also welcome entrepreneurs and small logs to confess expand further and eventually reach communities nationwide. Members are not necessarily out of Dar es Salaam and Dodoma only, we welcome members from all parties on...Edit
(image) – WADAU WAKIJADILIANA KABLA YA KUPOKEA TUZO(image) – PARTNERS WAKIJADILIANA BEFORE ACCEPTING AWARD
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) – Ni usiku,baadhi ya wanachama walikua wakiendelea na zoezi la kuzibua mitaro bila kujali muda(image) – It is night, some members that were undergoing exercise unplug trenches regardless of timeEdit
Mwezi August na september Nuru Halisi imetoa mafunzo kwa mama na baba lishe katika maeneo ya mazizini-Ukonga, Mafunzo hayo yalihudhuriwa na watu 32 na yalihusisha viongozi wa Kata ya Ukonga kitengo cha afya. Pamoja na kutoa elimu hiyo ya namna ya kutunza vyakula katika hali ya usafi, pia walipatiwa elimu ya namna ya kutunza taka zitokanazo na vyakula katika hali isiyokua na madhara kwa binadamu. Vilevile baada ya kmaliza mafunzo hayo,wameaswa kuwa na umoja wao ili...August and September Moon Light Music has provided training to mothers and fathers in the areas of nutrition stall-trunk, this training were attended by 32 people and leaders yalihusisha trunk County health unit. Along with providing the education on how to keep food in hygienic conditions, they also receive education on how to keep food waste transfusions isiyokua conditions hazardous to humans. Similarly kmaliza after training, are trapped in a union so they can get...Edit
(image) – kikombe hiki ni mali ya WANAMAZINGIRA ambacho tulikabidhiwa kwa utendaji mzuri hasa katika nyanja ya usafi.NAMBA MOJA KI-WILAYA YA ILALA KATIKA SWALA LA UTUNZAJI MAZINGIRA NA USIMAMIZI WA USAFI(image) – This cup belongs to the environmentalists that we received for good performance especially in the field of usafi.NAMBA ONE KI-Ilala District in regard to the ENVIRONMENTAL PROTECTION AND MANAGEMENT sanitation
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa usafi chemsha au tibu maji yote ya kunywa na kutengenezea juisi ya wateja na yafunikwe wakati wote Mpe mteja wako chakula kikiwa cha...Light continues to HARISI EDUCATION FOR MOTHER AND FATHER Nutrition – OUR VISION is to sell the food and Fruits consider the following to AVOID CUSTOMER cholera spread – Wash utensils with clean water and soap Covering all media and for good hygiene boil or treat all drinking water and juice to make the customers at all times and yafunikwe Give your client being a hot meal...Edit
Katibu wa Nuru Halisi akiwa na viongozi wa kikundi cha Nuru Development Group(KIMANU) katika moja ya vikao vyake. Kikundi hiki tayari kimeanzisha mradi wa uyoga na kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo. (image)Secretary of light music at the leaders of a group of Light Development Group (KIMANU) in one of its sittings. This group already has set up a mushroom project and continues to organize development projects. (image)Edit
(image) – PICHA YA WANA-NURUHALISI KABLA YA KUPOKEA KIKOMBE(image) – IMAGES OF HAVE TO GET PRE-NURUHALISI League
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit