Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
MAPUNGUFU YAPO NA YENYE KUWEZA HATA KUSABABISHA MIGOGORO MIKUBWA KATIKA NCHI YETU AU KUSABABISHA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE HUSUSANI KATIKA MFUMO WA UTAWALA KWA MAPANA YAKE,MFANO MUINGILIANO WA KIKATIBA KTK UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KATI YA MKUU WA WILAYA, MEYA/MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA MKURUGENZI WA WILAYA. HAYA MAENEO YANATAKIWA KUTIZAMWA UPYA KWA UMAKINI KATIKA KATIBA MPYA IJAYO ILI KUONDOA MIGOGORO ISIYO YA LAZIMA KTK NCHI YETU,WATU WAPEWE ELIMU YA KUTOSHA ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI KTK MFUMO HUU TATANISHI KIUTAWALA. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe