About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/CHACODE/post/25985
: English
Base
English
Unaweza kutembelea blog yetu – chalinzetelecentre.blogspot.com – email chalinzetelecentre@gmail.com
You can visit our blog – Chalinzetelecentre.blogspot.com – Email chalinzetelecentre@gmail.com
Edit
ndugu Panduka,Mbona kimya tuendelee kuwasiliana
Panduka brother, why still continue to communicate
Edit
Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya CHACODE,Thadei Hafigwa akichangia sera za maendeleo katika mkutano wa wadau wa maendeleo walioshirikishwa wanahabari.Huu ni mwanzo wa kuleta nguvu ya pamoja kwa wanaasasi katika kusukuma maendeleo ya jamii
Executive Director of the Organization of CHACODE, Thadei Hafigwa to donate development policy at a meeting of development partners who are involved habari.Huu are beginning to bring together the power of institutions in fostering economic development in the community
Edit
Mimi ni mdau wa habari na mawasiliano Chalinze -(CHALINZE ICT CENTRE); bahati mbaya sijaona wala kukutanana ninyi katika harakati zenu. – Lakinia nimefurahi kukutana na habari zenu kumbe tupo pamoja. Lakini sasa mko wapi? Mbona hasikiki? – Ningependa tuwasiliane kwani nami ni mdau wa maendeleo.
I am a member of information communication Technology (Chalinze ICT CENTRE): Unfortunately I have not seen nor hear about you in your pursuit. – But I'm glad to meet your information on the online. As the same as you we are dealing the same. Where aare you now? Why are you not head? – ,, I hope collaboration is the better way.
Edit
(image)
(Not translated)
Edit