Log in

/EMNet/news: English

BaseEnglish
(image) – MEO's listen tentatively during the meeting with stakeholders during the meeting on illigal fishing(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image) – MS Secelela Balisidya Board Chairperson of EMNet explains something during the meeting with Environment Jouranalists(Not translated)Edit
Envaya wametutembelea leo.(Not translated)Edit
EMNet Launch Newsletter to Communities Adjacent to Pugu and Kazimzumbwi Forests Reserves – Sauti ya Uhifadhi Pugu na Kazimzumbwi is a new Newsletter that was embedded with a series of stories that aims to raise awareness to the communities that are adjacent to Pugu and Kazimzumbwi Forest Reserves (PKFRs). It is a cartoonized newsletter that is in a simple languages to ensure the community are...(Not translated)Edit
Mtandao wa wanahabari wa Mazingira unaojulikana kwa jina la Environment Media Network-EMNet,unashiriki katika utekelezaji wa mradi wa Hifadhi Mapafu ya Dar es salaam(HIMADA). – Mradi huu unaratibiwa na chama cha Uhifadhi Maliasili Tanzania kwa lugha ya kigeni chama hiko kinajulikana kwa jina la Wildlife Conservation society of Tanzania (WCST) Chini ya ufadhiri wa ubalozi wa Norway hapa nchini. – Pamoja na mradi huu wa HIMADA kuratibiwa na WCST pia katika...(Not translated)Edit
(image) – Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Arusha,wakiwa katika moja ya mafunzo kwa waandishi wa habari za mazingira.mafunzo hayo yaliandaliwa na EMNet kwa ufadhiri wa WWF-TCO.(Not translated)Edit
EMNet Yatoa mafunzo kwa Waandishi wa habari za Mazingira. – Mtandao wa wanahabari wa mazingira EMNet,hivi karibuni umetoa mafunzo kwa baadhi ya waandishi wa habari za mazingira hapa nchini. – Mafunzo hayo yaliratibiwa na Mtandao huo wa wanahabari (Environment Media Network)chini ya ufadhiri wa WWF kupitia programu yake ya CSOP.Program hii ya CSOP hivi sasa imeshamaliza muda wake.Mafunzo hayo yaliwapa fulsa waandishi wa habari za mazingira katika...(Not translated)Edit
(image) – Pichani ni Waandishi wa Habari za Mazingira mkoani Arusha,wakiwa katika moja ya mafunzo yaliyotolewa na mtandao wa wanahabari wa mazingira (EMNet)kwa waandishi wa Habari za Mazingira mkoani Arusha hivi karibuni.(Not translated)Edit
Third year of Young Environment Trainees (YET) at EMNet – For three consecutive years EMNet has been hosting two Young Environment Trainees from WWF CSOP program. EMNet is appreciating the contribution of these young graduates in different programs that has been implemented by EMNet. Their staying at EMNet bring a lot of success and experience sharing, 2011 EMNet received two interns, Ms Ruth John graduate of History and Archology and Lina James graduate of...(Not translated)Edit