Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kama mapambano ya rushwa, ufisadi na Ukimwi yangepewa kipaumbele kama vile taifa lilivyopambana na ujinga(miaka ya 60), vita vya kagera (mwishoni mwa miaka ya 70),ulanguzi na uhujumu uchumi(miaka ya 80) naamini kuwa taifa letu lingekuwa mbali sana hivi sasa. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe