Envaya

/mope/post/93349: English: CM0007C2C4E2091000093829:content

Base (Swahili) English
MOPE, pole mmechanganya kidogo, watu hawa wanapelekwa eneo linaloitwa mabwepande na sio madale.

sisi wote tunawaunga mkono mope kwa kazi zenu za kila siku, nasikia mnafanya PETS kinondoni, bagamoyo na kibaha.

na sisi tunafanya mambo ya SAM tunaona changamoto nyingi sana kutoka kwenye community tunazo huf=dumia

good work MOPE
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register