Base (Swahili) | English |
---|---|
Hizi ni baadhi ya changamoto tunazokumbana nazo. Ni watu wakubwa na wenye uwezo ndio wanaochafua mazingira kwa kutoa taka ndani ya mageti na kuziweka nje. Wanaoathirika ni watoto wa maskini wanaocheza kwenye malundo ya taka hizo na wakazi wa kipato cha chini wanaotumia maji ya visima ambavyo havijachimbwa kitaalamu na taka hizi huingia kwenye visima nyakati za mvua. Tunaomba msaada tuwafikie na kuwaeleza namna ambavyo wanaweza kutoa ushirikiano na kuondoa dhana hiyo. MIRADI YA MAENDELEO Nuru Halisi Development Group sasa wameanza kupewa mafunza ya kutengeneza Uyoga na tayari wameanza kwa vitendo kwa kushiriki wenyewe kuandaa vitendea kazi. Wanachama watakuwa wakifanya kazi kwa pamoja ili wapate elimu hii ili iweze kuwasaidia mmoja mmoja kujibunia miradi yake nje ya kikundi. Malengo ya kikundi hiki ni kuwawezesha wanachama kuwa na uwezo wa kujitegemea kwa kutumia rasilimali walizonazo bila kutegemea kusaidiwa. Wanachama wamejiwekea akiba wenyewe na sasa wameweza kuanzisha mradi huu. Hii ni sehemu tu ya mikakati ya NURU HALISI
|
These are some of the challenges we experience them. They are older and capable are interventions environment to want in mageti to put out. Wanaoathirika are children of the poor who played the heap of garbage are the residents of low income who use water from wells that are not vijachimbwa professional and want these goes into the wells times of rain. Please help tuwafikie and explain how they can cooperate to eliminate the concept. Development projects Light Music Development Group have now begun to be trained to make Mushroom and actions have already begun to organize themselves to share tools. Members will be working with this knowledge so that they can help individuals kujibunia projects outside the group. The goals of this group is to enable members to be able to independently use resources without relying on the resources they support. Members have saved ourselves and savings are now able to start this project. This is only part of strategies REAL Light |
Translation History
|