About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/swaa-morogoro/news
: English
Base
English
(image) – Hawa ni vijana wa tarafa Ngerengere waliopata elimu ya ukimwi na matumizi bora ya utumiaji wa kondomu kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society 2005.
(image) – These are young people who receive Divisional Ngerengere AIDS education and better use of the use of condoms for the funding of The Foundation For Civil Society 2005.
Edit
(image) – Walezi wa watoto yatima na wale wahishiyo kwenye mazingira magumu (kijiji cha Matombo) waliopata mafunzo ya elimu ya saikolijia kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society 2008
(image) – Guardianship of orphans and those in difficult situations wahishiyo (village Matombo) trained saikolijia education funding The Foundation For Civil Society 2008
Edit
(document)
(Not translated)
Edit
Swaa-morogoro wapo hewani wakisubiri wabia kokote duniani shirika lolote ambalo lingependa kuungana nasi tunawakaribisha – HELLEN mbezi – MWENYEKITI – SWAA-MOROGORO
Swaa-Morogoro partners are waiting for the air wherever the world to join any organization of which we received lingependa,,,, HELLEN Mbezi,, Chairman,: SWAA-MOROGORO
Edit
(image) – Mwenyekiti wa SWAA akitoa mafunzo ya mada kuhusu elimu ya ukimwi na afya kwa mtoto wa kike katika shule ya sekondari Mnziha 2011.
(image) – Chairman's casting training saa paper on AIDS education and health for a girl in high school Mnziha 2011.
Edit
(image) – mwenyekitri wa shirika la SWAA ( Mrs. Hellen Mbezi) akijadiliana na viongozi wa kabila la masai kijiji cha Dakawa kuhusu elimu ya malezi na makuzi kwa watoto wa kike wakati wa kuhamasisha uwekaji wa maji salama kijijini kwao kwa ufadhili harimashauli ya wilaya ya Mvomero - Tanzania 2009.
(image) – mwenyekitri agency saa (Mrs. Hellen Mbezi) was conferred with the leaders of the tribe of masai village hawser education training and development for girls at encouraging the placement of safe water in their village for funding the rimashauli district Mvomero - Tanzania 2009 .
Edit
(image) – Cheti usajili shilika la SWAA
(Not translated)
Edit
KATIBA YA SWAA-MOROGORO TANZANIA – 1.0...
SWAA-MOROGORO CONSTITUTION OF TANZANIA – 1.0 ...
Edit
(image) – kipeperushi cha shirika la SWAA kinachoonyesha nembo ya SWAA na kuonyesha picha za mafunzo ya elimu ya saikolojia kwa walezi wa watoto yatima na wale waishiyo katika mazingira magumu.
(image) – The organization's brochure shows the emblem of the saa saa and show pictures of the educational psychology training for carers of orphans and vulnerable ones waishiyo.
Edit
(image) – watoto waliopata mavazi katika shule ya msingi kisaki kituoni wilaya ya morogoro vijijini kwa ufadhili wa TAKIAIDS 2008.
(image) – children who received clothing in elementary school firmly at the center of Morogoro rural district funding TAKIAIDS 2008.
Edit