Envaya

/swaa-morogoro/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Hawa ni vijana wa tarafa Ngerengere waliopata elimu ya ukimwi na matumizi bora ya utumiaji wa kondomu kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society 2005.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Walezi wa watoto yatima na wale wahishiyo kwenye mazingira magumu (kijiji cha Matombo) waliopata mafunzo ya elimu ya saikolijia kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society 2008(Bila tafsiri)Hariri
(document)(Bila tafsiri)Hariri
Swaa-morogoro wapo hewani wakisubiri wabia kokote duniani shirika lolote ambalo lingependa kuungana nasi tunawakaribisha – HELLEN mbezi – MWENYEKITI – SWAA-MOROGORO(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwenyekiti wa SWAA akitoa mafunzo ya mada kuhusu elimu ya ukimwi na afya kwa mtoto wa kike katika shule ya sekondari Mnziha 2011.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – mwenyekitri wa shirika la SWAA ( Mrs. Hellen Mbezi) akijadiliana na viongozi wa kabila la masai kijiji cha Dakawa kuhusu elimu ya malezi na makuzi kwa watoto wa kike wakati wa kuhamasisha uwekaji wa maji salama kijijini kwao kwa ufadhili harimashauli ya wilaya ya Mvomero - Tanzania 2009.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Cheti usajili shilika la SWAA(Bila tafsiri)Hariri
KATIBA YA SWAA-MOROGORO TANZANIA – 1.0...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – kipeperushi cha shirika la SWAA kinachoonyesha nembo ya SWAA na kuonyesha picha za mafunzo ya elimu ya saikolojia kwa walezi wa watoto yatima na wale waishiyo katika mazingira magumu.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – watoto waliopata mavazi katika shule ya msingi kisaki kituoni wilaya ya morogoro vijijini kwa ufadhili wa TAKIAIDS 2008.(Bila tafsiri)Hariri