Ni kweli kabisa wazee wa Tanzania ni muhimu wapewe pension kwa sababu zifuatazo:wazee wengi ni maskini na wengi wao wanaishi maisha ya chini ya dola moja na waishi vijijini.Wengi wao wanakufa kwa kukosa matibabu,pia wazee wameachiwa yatima kitu ambacho kinawafanya waishi maisha ya shida hivyo ni muhimu wapewe pension hata kama hawajawahi kufanya kazi. | It's actually quite elderly in Tanzania is important given Pension for the following reason: elderly is poor and many of them are living below one dollar and live vijijini.Wengi they are dying for lack of treatment, also the elderly have been left orphaned something that made them live a life of trouble Pension should be so important even if they have ever worked. | Edit |