Base (Swahili) |
English |
IDADI YA WAZEE WOTE TANZANIA INAKADIRIWA KUWA NI ASILIMIA 5.7 KATI YA WATU MILION 38, WAZEE HAWA WANATUNZA MAYATIMA ASILIMIA 53 YA MAYATIMA WOTE NCHINI NA KWAMBA ASILIMIA 90 YA WAZEE WOTE WANAKADIRIWA KWAMBA WANAISHI VIJIJINI HELPAGE INTERANATIONAL KWA KUSHIRIKIANA NA NABROHO SOCIETY FOR THE AGED YA MAGU MWANZA-TANZANIA TUNAKAMPAINI KUBWA YA KUISHAWISHI SERIKALI IANZE KUWAPATIA PENSION JAMII (SOCIAL PENSION) WAZEE WOTE BILA KUJALI MZEE HUYO ALIFANYA KAZI SERIKALINI AU LA,NA HII NI KWA SABABU WOTE WAMECHANGIA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA HILI. WEWE UNADHANI HILO NI JAMBO JEMA NA LINASTAHILI KWA WAKATI HUU AU LA, NINI MCHANGO WAKO ILI KUFANIKISHA KAMPAINI HII.
|
NUMBER OF TANZANIA elders estimated that 5.7 MEDIUM IS THE PERCENTAGE OF PEOPLE Lion 38, ORPHANS WANATUNZA these older orphans 53 PERCENT IN 1990 AND THAT THE PERCENTAGE elders estimated THAT YOU ARE LIVING IN RURAL HELPAGE INTERANATIONAL SOCIETY FOR LINKING AND NABROHO Aged FOR THE FIRST AGU MOST-TANZANIA TUNAKAMPAINI convince GOVERNMENT COMMUNITY begin providing Pension (Social Pension) elders regardless old man He worked in government or not, and this is because ALL contributed to the development of this nation. YOU Do you think that is a good thing and should by this time or not, WHAT YOUR CONTRIBUTION KAMPAINI to achieve this.
|