About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/jeanmedia/news
: English
Base
English
Mtweve: Kujitolea damu hakuna madhara. – Na ASIA KILAMBWANDA, Mtwara Community media – Meneja wa mpango wa uchangiaji damu salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent amesema kuwa hakuna madhara yeyote yanoyoweza kutokea endapo mtu atachangia au kutoa damu kwa njia iliyo salama. – Mtweve amesema hayo wakati akiongea na mwandishi wa habari hii ofisini kwake juu ya tathmini ya mwamko wa jamii katika uchangiaji wa damu kwa hiari...
Mtweve: Giving blood is no harm. – And Asia KILAMBWANDA, Mtwara Community Media – Manager of safe blood program of cost sharing of the southern region, Mtweve Vincent has said that no harm yanoyoweza occur if any person shall contribute or to give blood for a safe way. – Mtweve He said this while talking to the author of this information in his office on the assessment of awareness of the community in cost...
Edit
(image) – Meneja wa damu salama kanda ya kusini kushoto akiwa na mdau wa damu salama wakionesha fulana lenye ujumbe wa kuhamasisha uchangiaji wa damu.
(Not translated)
Edit
(image) – Shule ya Sekondari nanyamba iliyopo kata ya nanyamba wilaya ya Mtwara vijijini
(image) – School nanyamba existing wards of the Mtwara rural district nanyamba
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
(image) – Damu salama ikichambuliwa kwa ajili ya kusambazwa katika hospitali za mkoa wa Mtwara na Lindi(Kanda ya kusini)
(image) – Ikichambuliwa safe blood for hospitals distributed in Mtwara and Lindi Region (South Zone)
Edit
(image) – Kijiji cha nanyamba kilicho karibu na kata ya nanyamba Halmashauri ya Mtwara Vijijini
(image) – Village of nanyamba nearest the county Board of Mtwara Rural nanyamba
Edit
(image) – Nembo ya damu salama kwa kiswahili
(image) – Coat of safe blood for kiswahili
Edit
(image) – Maabara ya kuhifadhia damu salama/Damu salama ikiwa tayari kusambazwa mahospitalini.
(Not translated)
Edit
(image) – Meneja wa Mpango wa uhamasishaji uchangiaji damu Salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent.
(image) – Program Manager, Safe blood mobilization contributions southern region, Mtweve Vincent.
Edit
(image) – Maeneo ya shule zilizopo mkoani Mtwara
(image) – Areas of existing schools in Mtwara
Edit