Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/jeanmedia/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Mtweve: Kujitolea damu hakuna madhara. – Na ASIA KILAMBWANDA, Mtwara Community media – Meneja wa mpango wa uchangiaji damu salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent amesema kuwa hakuna madhara yeyote yanoyoweza kutokea endapo mtu atachangia au kutoa damu kwa njia iliyo salama. – Mtweve amesema hayo wakati akiongea na mwandishi wa habari hii ofisini kwake juu ya tathmini ya mwamko wa jamii katika uchangiaji wa damu kwa hiari...
(Not translated)
Hindura
(image) – Meneja wa damu salama kanda ya kusini kushoto akiwa na mdau wa damu salama wakionesha fulana lenye ujumbe wa kuhamasisha uchangiaji wa damu.
(Not translated)
Hindura
(image) – Shule ya Sekondari nanyamba iliyopo kata ya nanyamba wilaya ya Mtwara vijijini
(Not translated)
Hindura
(image)
(Not translated)
Hindura
(image) – Damu salama ikichambuliwa kwa ajili ya kusambazwa katika hospitali za mkoa wa Mtwara na Lindi(Kanda ya kusini)
(Not translated)
Hindura
(image) – Kijiji cha nanyamba kilicho karibu na kata ya nanyamba Halmashauri ya Mtwara Vijijini
(Not translated)
Hindura
(image) – Nembo ya damu salama kwa kiswahili
(Not translated)
Hindura
(image) – Maabara ya kuhifadhia damu salama/Damu salama ikiwa tayari kusambazwa mahospitalini.
(Not translated)
Hindura
(image) – Meneja wa Mpango wa uhamasishaji uchangiaji damu Salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent.
(Not translated)
Hindura
(image) – Maeneo ya shule zilizopo mkoani Mtwara
(Not translated)
Hindura