Envaya
/CHACODE/news
: English
1
2
3
Next »
Base
English
Mkurugenzi Mtendaji wa CHACODE Thadei Hafigwa akiwa studio ya RFA akielezea jambo kuhusiana na utendaji wa asasi yake
Executive Director at CHACODE Thadei Hafigwa RFA label explaining something related to the performance of his organization
Edit
(image) (image) (image) (image) Hii ni hatua mbalimbali katika kufanya tafiti mbalimbali ikiwemo hali ya mazingira na uharibifu wa uoto wa asili. – Juhudi mbalimbali zinafanywa na serikali lakini kutokana na kuwepo kwa changamoto mbalimbali za maendeleo taarifa nyingi jamii hasa wa vijijini wanakosa kuzipata.Asasi ya CHACODE imedhamiria kuwa kiungo – madhubuti katika kuongea...
(Not translated)
Edit
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa CHACODE,Thadei Hafigwa,Akimkabidhi Mjane wa Jamii ya Kimasai msaada wa fedha kwa ajili ya ada ya mtoto wake,aliyesimama katika ni Mtendaji wa Kijiji cha Kihangaiko Idd Simba
(Not translated)
Edit
Maisha ya Kijiji,wakati mwingine kutokana na ukosefu wa vifaa mbalimbali vya kurahisisha shughuli zako za kila siku za kujiongezea kipato kama vile trekta,plau dhana inayotumika katika kilimo au jembe la kukotwa kwa Ng'ombe au wanyama pia hata hukosa mwevuli wa kujikinga na mvua pindi mvua inyeshapo,hutumia jani l (image) (image) (image) a Mgomba kujikinga na mvua,hapa Mkurugenzi Mtendaji wa CHACODE,Thadei Hafigwa ili kuendana na mazingira...
Village life, sometimes due to lack of various facilities to simplify your daily activities to increase their income, such as a tractor, plow the concept used in agriculture or cattle to plow the kukotwa animals or even lack of protection against rain mwevuli when inyeshapo rain, uses leaf l (image) (image) (image) a banana to prevent rain, here CHACODE Executive Director, Thadei Hafigwa to conform to the Village environment has forced...
Edit
Viongozi wa serikali ni wadau wakubwa wa maendeleo na asasi zisizo za kiserikali kwa kuwa lengo ni moja kuhakikisha ya kuwa wananchi wanapata maendeleo katika maeneo yao na kuzikabili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo wakati wa kutekeleza majukumu yao
Officials biggest stake in development and non-governmental organizations on a single goal is to ensure that citizens' access to development in their areas and to afflict the various challenges they meet when performing their duties
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
Ni jambo linaleta faraja kubwa kwa kiongozi kwenye busara kuwa karibu na wananchi wake kujua changamoto zinazowakabiri,kuzungumza kulingana na mazingira wanayoishi,kwani zipo semi mbalimbali zinenazwo"kama hatutaweza kukaa karibu nao tukazungumza nayo,na wao kuwa karibuni nasi na kuzungumza nasi,hata nasi kamwe tuwezi tukazungumza tukaelewana. – Kiongozi wa kweli kuonyesha mfano,kwa kuzungumza na watu wake bila ya kujali dini,rangi au utaifa wake,hiyo ndio...
It brings great comfort to guide the wise to be closer to its citizens to know the challenges zinazowakabiri, speaking according to the environment they live in, because there is nothing different zinenazwo "if we can stay close to them we talked with them, and they will be soon with us and talk to us, even us never We talked and we tuwezi understanding. – True leader to show the example, by talking to people regardless of religion, race or his...
Edit
Viongozi wa serikali wanajukumu kubwa la kuwahamasisha wananchi kuchangia maendeleo yao,Miongoni mwa viongozi hao ni Mhe.Mbunge wa Bagamoyo Dk Shukuru Kawambwa ambaye ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi stadi amekuwa mstari wa mbele katika kukakikisha maendeleo yanapatikana katika jamii.
Government official role to motivate the public to contribute to their development, they are among the leaders of Bagamoyo Mhe.Mbunge Dr Shukuru Kawambwa who is Minister of Education and vocational training has been at the forefront in the development kukakikisha available in the community.
Edit
ASASI ya CHACODE iliweza kufanya utafiti katika masuala ya kuhifadhi mazingira na mambo ya kale.Jambo hili limetokana na tabia ya mapokeo waliokuwa wakiitumia wazee katika kuridhishana na kupeana taarifa na kumbukumbu mbalimbali za matukio ya kihistoria,mila na desturi utaratibu ambao kwa sasa umeanza kufutika kutokana na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano na kumbukumbu. – Asasi imechukua jukumu la kufanya utafiti mdogo juu ya wazee wa kale walivyoweza kuwa na uwezo wa kufanya...
(Not translated)
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
Comments
I recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...
Edit
February
February
Edit
March
March
Edit
{month} {day}, {year}
{month} {day}, {year}
Edit
Discussions
Discussions
Edit
1
2
3
Next »