5. NAMNA WANA-WEMA WALIVYOWAKUMBUKA WANAFUNZI YATIMA SIKU YA MJADALA WA WAZI - NDANDA – Tarehe 03 Mei 2010 kikundi cha Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA waliendesha mjadala wa wazi katika mji mdogo wa Ndanda. Wana-WEMA waliitumia siku hiyo kukabidhi misaada kwa wanafunzi watatu ambao ni yatima kutoka katika shule tatu za msingi. Wanafunzi hao ni Genofever Kavili mwanafunziwa darasa la IV kutoka... | (Not translated) | Hindura |