Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Maambukizi ya VVU/UKIMWI yanazidi kuongezeka kila kuchapo kwa sababu:- 1: Umaskini. 2: Elimu ya namna ya kuzuia na kujikinga haijawakolea wadau. 3: Mila na desturi potofu zinachangia kwa kiasi fulani mfano ukeketaji, kurithi wake nk. 4: Uwepo wa mazingira hatarishi yanayoamsha na kuchochea ari ya kufanya mapenzi, mfano kumbi za starehe, migodi nk. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe