Envaya

/fmzeituni/news: English

BaseEnglish
(image) – Paschal kuboja Mwanafunzi wa shule ya msingi Nansio Ukerewe Mwanza Tanzania akieleza mapungufu yaliyopo shuleni hapo nayo ni vyoo,madarasa na kutokuwepo kwa maji shuleni hapo 19/07/2011(image) – Paschal kuboja student elementary school Nansio Ukerewe Mwanza Tanzania stating limitations when it is available in school toilets, classrooms and lack of water to school 19/07/2011Edit
(image) – Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Mzeituni,mgeni rasmi na Kaimu mwl Mkuu wakibadilishana mawazo kabla ya kukabidhi madawati 19/07/2011(image) – Some of the staff of the Organization of Olives, the guest and the Acting Chief Mwl they exchanged ideas before the transfer desks 19/07/2011Edit
(image)(Not translated)Edit
(image) – wanafunzi wa shule ya msingi Nansio-Ukerewe wakipokea msaada wa madawati yaliyogawiwa na asasi isiyo ya kiserikali Mzeituni Foundation chini ya ufadhili wa Benki kuu ya tanzania (Tawi la Mwanza) na Michango ya Wafanyakazia wa Mzeituni foundation.Tahehe 19/07/2011(image) – students of primary school-Ukerewe Nansio receiving help desks yaliyogawiwa and non-governmental Olives Foundation under the auspices of the Bank of Tanzania (Mwanza branch) and the contributions of Olives Wafanyakazia foundation.Tahehe 19/07/2011Edit
(image) – Mwananchi wa Mriti ambaye ni miongoni mwa wajasilia mali wa vikundi vya kuweka na kukopa akitoa shukrani kwa viongozi wa shirika la Mzeituni Foundation kwa kuwawakirisha wanakikundi wenzake baada ya kukabidhiwa sanduku kwa ajili ya kikundi chao na kuongeza kusema wao wataendeleza kikundi chao kwa kufuata mafunzo yaliytolewa na shirika hilo kwa ufadhili wa shirika la kiswideni la Forum syd katika kata yao....(image) – Citizen of the rite, who are among wajasilia property groups for savings and credit giving thanks to the leaders of an olive Foundation for kuwawakirisha group colleagues after the appointment of a box for their group and to say they will continue their group following training yaliytolewa and organization The funding agency kiswideni of Forum Syd in their county.Edit
(image) – Mkurugenzi Mtendaji, Afisa Mipango wa Mzeituni Foundation pamoja na mwalimu mlezi wa wototo hao Bi Anna Wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufunzi wenye ulemavu siku ya kukabidhi madawati.Tarehe 19/07/2011(image) – Executive Director, Planning Officer of Olives Foundation with the child's guardian, teacher Mrs. Anna As in the picture with some wanufunzi with disabilities on the transfer of madawati.Tarehe 19/07/2011Edit
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa Mzeituni Foundation akitoa taarrifa kwa ufupi kuhusu asasi ya Mzeituni siku ya kukabidhi madawati.Tarehe 19/07/2011(image) – Foundation Executive Director Olives casting taarrifa briefly about the organization of Olives on the transfer of madawati.Tarehe 19/07/2011Edit
(image) – Mukurugenzi Mtendaji(Meshack Masanja) na Afisa Mipango(Paskazia Peter) wa Mzeituni Foundation Wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufunzi wenye ulemavu siku ya kukabidhi madawati.Tarehe 19/07/2011(image) – Mukurugenzi Executive (Meshack Masanja) and Planning Officer (Paskazia Peter) Olivet Foundation As in the picture with some wanufunzi with disabilities on the transfer of madawati.Tarehe 19/07/2011Edit
(image) – Mkurugenzi mtendiji wa shirika lisilokuwa la kiserikali la Mzeituni Foundatio Bw.Meshack Masanja akifanya mahojiano na dakitari wa kituo cha afya cha Igalukilo juu ya hali yaupatikanaji wa huduma ya afya hususa ni kwa akinamama,mama wajawazito na watoto katika kituo chake tarehe 7/4/2011(image) – Mtendiji director of the nongovernmental organization olive Foundatio Bw.Meshack Masanja doing interviews and doctor of health center yaupatikanaji Igalukilo on the condition of health care is for him especially mothers, pregnant women and children in her station on 04.07.2011Edit
(image) – Wanakikundi wa kikundi cha kuweka na kukopa cha huko Mriti wakiwa wamekusanyika katika siku yao ya kuweka na kukopa,nakupeana mawaiza na mbinu zingine za kweza kuendeleza kikundi chao ili kuweza kukabiliana na ugumu wa maisha.(image) – Members of the group of savings and credit in the rite as they gathered in their day to savings and credit, nakupeana mawaiza and other methods able to develop their group in order to cope with hardship.Edit