| Wazee wawajibike. Kukosa maadili kwa vijana kunatokana na kutowajibika kwa wazee. Hao vijana wa zamani ambao walikua na maadili mema ni kutokana athari ya maadili mazuri ya wazee wao. – Mfano vijana wanaovaa vibaya na kwenda nusu uchu hawakii mapangoni wanaishi majumbani pamoja na wazee wao. Jee wazee hawayaoni hayo. Mtoto wako anapokuaga kwamba anakwenda disco usiku nakurudi saa nane au tisa usiku nawe ukamngojea kumfungulia mlango jee ni nani aliyekosa maadili ni kijana au... | (Not translated) | Hindura |