Base (Swahili) | English |
---|---|
kutokana na utandawazi uliopo sasa umekuja na vijana ndio walio upokea kwa kasi zaidi na kujikuta vijana wanafahamu mambo mengi zaidi kuliko wazee misemo na maneno yale ya kificho yaliokuwa yakitumika zamani kuwakanyia wa watoto sasa uwezi tena kumwambia mtoto akakuelawa au kina kwa mfano zamani kijana wa miaka kumi na nane ajui kuhusu maswala ya ngono wakati mwengine mpaka anaoa lakini ajui umo ndani afanye nini lakini sasa hivi mtoto wa mika mnne tayari anajua hata staili mbalmbali za kufanya ngono kwa hiyo ndugu yangu Hamza M.Omar swala ni kuomba mashirika ya kijmii taasisi mbalimali kutoa taalifa sahihi kuhusu utandawazi sasa kila kitu kina faida yake na asara yake asanteni sana |
due to globalization, the present has come up with the young ones who receive faster and find young people know much more than the old phrases and words that the code yaliokuwa practiced for the past kuwakanyia the children now can no longer tell the child he kuelawa or depth for example old boy of ten years and eight ajui about sexual orientation but sometimes until marries ajui do what is within, but now the child already knows four mika even mbalmbali style of having sex with my brother Hamza M. Omar query is asking agencies to provide taalifa mbalimali kijmii institutions right about globalization now everything has its advantages and its asara thank you |
Translation History
|