Wazee wawajibike. Kukosa maadili kwa vijana kunatokana na kutowajibika kwa wazee. Hao vijana wa zamani ambao walikua na maadili mema ni kutokana athari ya maadili mazuri ya wazee wao. – Mfano vijana wanaovaa vibaya na kwenda nusu uchu hawakii mapangoni wanaishi majumbani pamoja na wazee wao. Jee wazee hawayaoni hayo. Mtoto wako anapokuaga kwamba anakwenda disco usiku nakurudi saa nane au tisa usiku nawe ukamngojea kumfungulia mlango jee ni nani aliyekosa maadili ni kijana au... | Elders accountable. Lack of ethics for young people due to unreliability in the elderly. Those young people who grow old with good moral values is due to positive effects of their elders. – Teens who wear the wrong example and passion do not go half Kii caves they lived in homes with their elders. Are the elderly not yaoni it. Pokuaga that your child is going to disco night and returned at eight or nine at night you can wait to release the door Who Have error code is... | Edit |