Base (Swahili) | English |
---|---|
25/06/2010 MATATIZO YA KIKUNDI Wanachama tulitukutana kujadili tatizo la UKOSEFU WA OFISI YA KIKUNDI. Kwani mpaka sasa shughuli zote za kikundi zinafanyika SEBULENI kwa Mwenyekiti hivyo kupunguza ufanisi wa shughuli za kikundi.Pia ukosefu wa vitendea kazi unarudisha nyuma shughuli za kikundi.Kikundi kinaomba kuwezeshwa kupatiwa Ofisi na Vitendea kazi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa shughuli za kila siku za kikundi. |
25/06/2010 ,,PROBLEMS OF GROUP Members tukutana we discuss the problem of lack of OFFICE OF THE GROUP. For until now, all group activities are held to the living room chair so reduce the effectiveness of the activities of the lack of tools kikundi.Pia you return back to operations enabled kikundi.Kikundi They pray the Office and provided with tools to increase efficiency in the implementation of activities of daily group . |
Translation History
|